BONYAD AKHTAR TABAN
Kukutana na hujatu al-islam waal-muslimin sheykh Jaffer Tabrizi
hujatu al-islam waal-muslimin seyeid kadhim Rizvi alikutana na hujatu al-islam waal- muslimin sheykh jaffer Tabrizi mtoto wa ayatallh sheykh Jawad Tabrizi.
katika kikao hicho sheykh Jaffer Tabrizi alizungumzia harakati za Alaama Rizvi na kusema kuwamba: Alaama ni mfano wa mubalghina wote. Na vile vile alimuonyesha Sayeid Rizvi baadhi ya kazi zake mbali mbali.