BONYAD AKHTAR TABAN
Kikao cha kumrehemu hujatu al-islam wa al-muslimin sheykh Abdallah Seef
sheykh Abdallah seef (1928-2020)ni moja wa wazee wakubuwa wa Africa masharike na nchi ya Tanzania na ni mwanafunzi wa kwanza wa allamah Rizvi. Na alitumwa kuendelea na msomo ya dini nchini Iran na Iraq kwa amri ya allama . marehemu sheykh abdallh seef bada ya kurudi kwake Tanzania alianza shughuli za Tablighi na kutumuwa na allamah Eneo lenye hali ngumu.
Bonyad Akhtar tabana walifanya kikao Ili kurehemu roho ya marehemu ambao ulihudhuriwa na Wasomi wakubwa wa Africa mashariki kwa usimamizi wa sayyed Kadhim Rizvi . katika kikao hicho kilicho hudhuriwa na ayatu -allah Hassan zadeh layleh kuhi, sheykh salim mwega kutoka Kenya, sheykh abdul majid kutoka Tanzania na wakubuwa wengine.