KUFANYIKA DAURA YA KULEA MUBALIGH (KIONGOZI WA MUBALIGHINA) NA BUNIYAD AKHTAR TABAN
Daura ya kwanza ya kulea Mubalighina wazawa imefanyika kwa unuwani ya Kiongozi wa Mubalighina hasa kwa wanafunzi wanaozungunza Lugha ya Kiurdu.
Buniyad Akhtar Taban kwa kuzingatia mahitaji ya eneo la India ilifanya daura hii.
Daura hii inafanyika karibu na Haramu tukufu ya Bibi Fatima Al-masumah (a.s) katika offisi ya Buniyad Akhtar Taban na itamalizika katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Moja wapo ya malengo ya daura hii nikuwahami wanafunzi na mubalighina wanaozungumza lugha ya kiurdu kwa lengo la kueneza madhehebu ya Ja’ffaria.
Buniyad Akhtar Taban kwa lengo hili na kwa kutumia walimu wa lugha ya Kiurdu na Kifarsi na kwa kushirikiana na Taasisi mbali mbali katika kuandaa na kufikia lengo hili.
Darasa za daura hii zinaendeshwa kwa kuzingatia kanuni za kiafya na hufanyika kila weki.