Habari

Kukutana mjukua wa alamah sayyed Saeed Akhtar Rizvi na maulama na wakubwa kutoka India

katika mwezi wa ramadhani na bada ya kupita usiku wa qadr, hujatul islam Kadhim Rizvi mjuku wa alaamah sayyed Saeed Akhtar Rizvi alikutana na kuongea na maulama wa India  Kwenye Karamu ya Iftar.                                                                                                      Kikao hicho kilianyka kwenye ofisi ya bonyad Akhtar taban katika mji wa Qom kilifanyka  karibu na haram ya bibi Masuma amani iwe juu yake.                                        Kwa ajilia kuzingatia kanuni za kiafya kikao  hicho  kilifanyika mausiku matatu kikihudhuriwa na maulama na makhatibu maarufu wa India.                                                Katika kikao hicho cha kirafiki baada ya kufuturu ,kilizungumzia shughuli za bonyad Akhtar taban na shughuli za kielimu na kimasomo maelezo hayo yali tolewa kwa waliohudhuria na mmoja wana chama wa bonyad Akhtar taban  ambayo yalipokelewa vizuri sana na maulamaa na baada ya hapo kiongozi wa akhtar taban hujatulislam wal- muslimin Rizvi alibadilishana mawazo na waliohudhuria .
Kikao hicho  kilimalizika kwa kisomo cha suratu al-fatiha  kwa ajili ya marhemu alaama sayyed Saed Akhtar Rizvi na dua al-huja .

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button
× Whatsapp Support